Leviticus 19:10

10 aUsirudi mara ya pili katika shamba lako la mizabibu, wala usiokote zabibu zilizoanguka chini. Ziache kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wako.

Copyright information for SwhKC